• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • v Mambo matatu ya ukweli kuhusu mgogoro wa kibiashara kati ya China na Marekani
  Jumapili iliyopita serikali ya China ilitoa waraka rasmi kuhusu msimamo wa China kwenye mazungumzo ya kibiashara kati yake na Marekani, ambao umeweka bayana mambo ya ukweli kuhusu mgogoro wa kibiashara kati ya nchi hizo mbili, na vitendo vya Marekani vya kutokuwa na uaminifu kwenye mazungumzo hayo.
  Dunia
  • Bunge la Israel lapiga kura kupitisha mswada wa kuvunja bunge la 21 2019-05-30

  Kutokana na waziri mkuu wa Israel Bw. Benjamin Netanyahu kushindwa kuunda baraza la mawaziri kama ilivyopangwa, bunge la nchi hiyo jana limepiga kura na kupitisha mswada uliotolewa na chama cha Likud kinachoongozwa na Bw. Netanyahu kuhusu kuvunja bunge la 21 na kuitisha uchaguzi mpya.

  More>>
  China
  • Alama ya PMI nchini China kwa mwezi Mei yashuka 05-31 18:54

  Takwimu zilizotolewa na Idara Kuu ya Takwimu ya China zinaonesha kuwa, alama ya usimamizi wa manunuzi PMI nchini China kwa mwezi Mei imeshuka na kuwa asilimia 49.4, lakini uchumi wa China bado umedumisha maendeleo tulivu.

  More>>
  Michezo
  • RAGA: Fiji mabingwa wa raga wa dunia, Kenya wakamata mkia
  Fiji ndiyo mabingwa wa raga ya dunia ya wachezaji saba kila upande ya msimu 2018/2019 baada ya kushinda taji la Paris la wachezaji saba kila upande kwa kubwaga New Zealand kwa miguso 35-24 nchini Ufaransa.
  More>>
  Uchumi
  • Nchi 53 za Afrika kuudhuria maonesho China

  Nchi 53 za Afrika zinatarajiwa kuudhuria maonesho ya kwanza ya kiuchumi na biashara yatakayofanyika Juni 27-29 katika mkoa wa Hunan nchini China.

  Makala
  • China kuchukua hatua tano kuhimiza ufunguaji mlango kwenye kiwango cha juu zaidi
  Rais Xi Jinping wa China akihutubia ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Baraza la Ushirikiano wa Kimataifa la "Ukanda Mmoja, Njia Moja", amesisitiza kuwa inapaswa kusukuma mbele ujenzi wa pamoja wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" kwenye kiwango chenye sifa ya juu, na kutangaza hatua tano muhimu zitakazochukuliwa na China katika kuhimiza ufunguaji mlango kwa kiwango cha juu zaidi.
  Wiki hii
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Mei 25-Mei 31)

  1.Rais wa Afrika Kusini atangaza baraza dogo la mawaziri

  2.Utekelezaji wa mkataba wa soko huria la Afrika waanza

  3.Utekelezaji wa mkataba wa soko huria la Afrika waanza

  4.China yalaani Marekani kwa kuiwekea Huawei vikwazo bila ya shahidi

  5.Ethiopia yarudisha wakimbizi milioni 1.2 wa ndani

  6.Jeshi la Nigeria layalaumu mashirika ya kibinadamu kwa kulisaidia kundi la Boko Haram

  7.Rais wa Nigeria aapishwa kwa muhula wa pili

  8.Baraza la mpito la kijeshi la Sudan lasema, kuna uwezekano wa nchi hiyo kufanya uchaguzi mapema

  More>>
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako